Ni lazima mfanyakazi wa kike awe na Mahram?


Swali: Je, imeshurutishwa kwa yule anayemleta mfanyikazi wa kike aje pamoja naye Mahram? Akiwa pamoja naye Mahram inafaa kumleta?

Jibu: Ndio, imeshurutishwa kama ilivyo katika Hadiyth:

“Si halali kwa mwanamke anayemuamini Allaah na siku ya Mwisho kusafiri isipokuwa awe pamoja Naye Mahram.”

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (03) http://audio2.islamweb.net/lecturs/aalrrajhee/430/430.mp3
  • Imechapishwa: 03/04/2018