Swali: Ni ipi hukumu ya kuzitia rangi ndevu kwa hina na katam?
Jibu: Ni Sunnah. Ni Sunnah kuzitia rangi mvi. Ndio, kuna katika Maswahabah ambao hawakufanya hivo. Ni dalili inayofahamisha ya kwamba sio lazima japokuwa lililo bora ni kufanya hivo. Wanachuoni tuliokutana nao hawakutia rangi; si Shaykh Muhammad bin Ibraahiym, wala Shaykh as-Sa´diy wala Shaykh Ibn Humayd. Hakuna katika wao waliotia rangi. Hakuna neno. Inajuzu kutotia rangi.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (58) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/15-01-1438-ighastat.mp3
- Imechapishwa: 23/10/2017
Swali: Ni ipi hukumu ya kuzitia rangi ndevu kwa hina na katam?
Jibu: Ni Sunnah. Ni Sunnah kuzitia rangi mvi. Ndio, kuna katika Maswahabah ambao hawakufanya hivo. Ni dalili inayofahamisha ya kwamba sio lazima japokuwa lililo bora ni kufanya hivo. Wanachuoni tuliokutana nao hawakutia rangi; si Shaykh Muhammad bin Ibraahiym, wala Shaykh as-Sa´diy wala Shaykh Ibn Humayd. Hakuna katika wao waliotia rangi. Hakuna neno. Inajuzu kutotia rangi.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (58) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/15-01-1438-ighastat.mp3
Imechapishwa: 23/10/2017
https://firqatunnajia.com/ni-ipi-hukumu-ya-kutia-rangi-ndevu-kwa-hina-au-katam/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)