Swali: Ikiwa muislamu anamchukia kafiri si kwa sababu ya dini bali ni kwa sababu ya manufaa ya kidunia. Je, analipwa kwa sababu ya kuchukia huku?

Jibu: Hapana, hapewi thawabu kwa sababu ya kufanya hivi. Kuchukia kunatakiwa kuwe kwa ajili ya Allaah. Ama kuchukia kwa sababu ya mambo ya kidunia yaliyo kati yako wewe na yeye haihusiani na dini.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (81) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%B4%D8%B1%D8%AD%20%D9%81%D8%AA%D8%AD%20%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%AC%D9%8A%D8%AF%20-24-07-1439%20%D9%87%D9%80.lite_.mp3
  • Imechapishwa: 23/10/2018