Namna ya kutubia kwa usengenyi


Swali: Ni vipi mtu hutubia kwa ajili ya usengenyaji?

Jibu: Akiweza kumuomba msamaha, afanye hivo. Hii ni haki ya kiumbe na haianguki isipokuwa kwa yule msengenywaji kusamehe. Ama ikiwa hawezi kumtaka radhi amuombee du´aa yule msengenywaji, amuombee msamaha na kumsifu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (13) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-08-09.mp3
  • Imechapishwa: 28/05/2018