Swali: Ndugu yangu mdogo haswali na anatenda madhambi. Pindi ninapomnasihi hapokei nasaha. Ni kipi ninachoweza kufanya na unaninasihi nini?

Jibu: Ikiwa mko na mapolisi wa kidini katika nchi, waeleze juu yake ili wamchukue, wamnasihi na kumfunza. Ikiwa hamna endelea kumnasihi. Huenda Allaah akamwongoza. Akiendelea kung´ang´ania mkate na jitenge nae.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (40) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatsah%20%20-%2028%20-%2012%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 13/02/2017