Namna ya kufanya Tabarruk kwa maji ya zamzam


Swali: Inajuzu kufanya Tabarruk kwa maji ya zamzam na inakuwa vipi?

Jibu: Ndio, inajuzu kufanya Tabarruk kwa maji ya zamzam kwa ajili Allaah amefanya kuwa ni yenye baraka. Allaah ameweka ndani yake baraka. Yanakunywa kama dawa na kutafuta thawabu kutoka kwa Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala). Zamzam ni maji yenye baraka.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14763
  • Imechapishwa: 01/05/2018