Myonyeshaji anayechelea nafsi yake


Swali: Ni lipi linalomlazimu mwanamke myonyeshaji ambaye ameacha kufunga Ramadhaan kwa kuchelea nafsi yake?

Jibu: Akichelea juu ya nafsi yake basi aache kufunga. Katika hali hii itakuwa ni wajibu kwake kulipa peke yake. Akichelea juu ya nafsi yake aache kufunga na alipe. Haimlazimu kulisha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaam al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14891
  • Imechapishwa: 04/06/2017