Mwisho wa talaka ni tatu na si nne


Muulizaji: Mwanaume akimtaliki mke wake Talaka nne?

al-Fawzaan: Nne?

Muulizaji: Ndio.

al-Fawzaan: Hakuna nne. Mwisho wa Talaka ni tatu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=OHuL3dsxcns
  • Imechapishwa: 18/02/2018