Swali: Kuna mwenye kuhiji amekufa katika Hajj ya faradhi ilihali ni mwenye kuhirimia ´Arafah na hakukamilisha Hajj yake. Je, ni wajibu juu ya watoto wake kumhijia?

Jibu: Kauli sahihi na ambayo inafahamishwa na Hadiyth ni kwamba hatohijiwa kwa kuwa amekufa hali ya kuwa ni mwenye kuhirimia na amebaki katika Nusuk yake. Hatohijiwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (10) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-10-29.mp3
  • Imechapishwa: 11/11/2014