Mwanaume kutumia manukato ya wanawake


Swali: Mwanaume anayetumia manukato ya wanawake anaingia katika Hadiyth ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

“Allaah Amlaani mwanaume mwenye kujifananisha na wanawake.”?

Jibu: Ndio. Mambo ambayo ni maalum kwa wanawake wanaume wasiyatumie na mambo ambayo ni maalum kwa wanaume wanawake wasiyatumuie.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (43) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1432-03-17.MP3
  • Imechapishwa: 16/11/2014