Swali: Inajuzu kwa mwanamke kujipodoa wakati wa Ihraam?

Jibu: Ndio, lakini asivionyeshe watu. Inafaa kwake kujipamba, lakini akiwa mbele ya wanaume anatakiwa kujifunika. Hata hivyo asivitumie kama vipodozi hivyo vina vinanukia manukato.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (21) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-13-2-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 01/02/2020