Swali: Je, inajuzu kwa mwanamke kuvaa shati la kike na suruwali ya kike lakini suruwali hii ni pana ya kuachia na si ya kubana? Ni ipi hukumu ya kuivaa na kuwavalisha wasichana wadogo?
Jibu: Inazingatiwa ni kujifananisha na maadui wa Uislamu. Tunawashauri kujiepusha nayo. Vivyo hivyo wasichana wadogo watazowea hilo na kuendelea kufanya hivyo watapokuwa wakubwa. Tunawashauri kushikamana na dini ya Uislamu na sisi, wasichana wetu na familia zetu.
- Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.muqbel.net/fatwa.php?fatwa_id=3794
- Imechapishwa: 07/09/2020
Swali: Je, inajuzu kwa mwanamke kuvaa shati la kike na suruwali ya kike lakini suruwali hii ni pana ya kuachia na si ya kubana? Ni ipi hukumu ya kuivaa na kuwavalisha wasichana wadogo?
Jibu: Inazingatiwa ni kujifananisha na maadui wa Uislamu. Tunawashauri kujiepusha nayo. Vivyo hivyo wasichana wadogo watazowea hilo na kuendelea kufanya hivyo watapokuwa wakubwa. Tunawashauri kushikamana na dini ya Uislamu na sisi, wasichana wetu na familia zetu.
Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.muqbel.net/fatwa.php?fatwa_id=3794
Imechapishwa: 07/09/2020
https://firqatunnajia.com/mwanamke-kuvaa-shati-na-suruwali-ya-kike/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)