Mwanamke kupita mbele ya mwanamke mwenzake anayeswali

Swali: Mwanamke kupita mbele ya mwanamke mwenzake anayeswali anaharibu swalah yake?

Jibu: Ndio.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 135
  • Imechapishwa: 01/07/2022