Mwanamke kuadhini mbele ya wanaume


Swali 232: Inafaa kwa mwanamke kuadhini mbele ya wanaume pasi na kuswali?

Jibu: Haijuzu kwake kufanya hivo kwa sababu ya kwenda kwake kinyume na Shari´ah.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 92
  • Imechapishwa: 13/08/2019