Swali: Inajuzu kwa mwanamke bibi kizee kusafiri bila ya Mahram?

Jibu: Hapana, haijuzu. Asisafiri bila Mahram:

“Si halali kwa mwanamke anayemwamini Allaah na siku ya Mwisho kusafiri isipokuwa awe pamoja nae Mahram.”

Hadiyth ni yenye kuenea.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (35) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20-%208%20-%201%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017