Swali: Ni ipi hukumu ya mwanaume kutazama barnamiji na taarifa za khabari ambazo zinaendeshwa na mwanamke?

Jibu: Asimtazame. Asikilize pasi na kutazama.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighâthat-il-Lahfân (69) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/12-07-1438i.mp3
  • Imechapishwa: 18/10/2017