Mwalimu kuwatazama wanafunzi kwa matamanio


Swali: Mimi nafunza katika masomo ya msingi na tuko na mamia ya wanafunzi ambao bado wadogo. Baadhi yao wanaweza kuwa wazuri. Je, nikiwaangalia wakati wa kuwafafanulia naingia katika wale waliotajwa na Ibn-ul-Qayyim?

Jibu: Ndio, ukiwaangalia kwa kuwatamani yanakugusa. Lakini ukiwaangalia kwa sababu tu unataka wazinduke na wazingatie somo ni sawa. Huku ni kutazama kwa ajili ya kutaka wazinduke.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ighaathat-il-Lahfaan (74) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-25-01-1439H-01.mp3
  • Imechapishwa: 11/11/2017