Mwalimu anamwachia mwanafunzi afanye ghushi mtihanini

Swali: Ni ipi hukumu ya kufanya ghushi katika mtihani wa masomo ingawa mwalimu anajua jambo hilo?

Jibu: Kughushi ni haramu katika mitihani kama ambavyo ni haramu vilevile katika biashara. Haifai kwa yeyote kufanya ghushi katika mitihani katika mada yoyote. Mwalimu akiridhia jambo hilo na yeye ni mwenye kushiriki katika kupata dhambi na usaliti.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa ad-Duruus https://binbaz.org.sa/fatwas/2825/%D9%85%D8%A7-%D8%AD%D9%83%D9%85-%D8%A7%D9%84%D8%BA%D8%B4-%D8%A8%D8%A7%D9%84%D8%A7%D8%AE%D8%AA%D8%A8%D8%A7%D8%B1%D8%A7%D8%AA-%D9%85%D8%B9-%D8%B9%D9%84%D9%85-%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%B9%D9%84%D9%85
  • Imechapishwa: 02/02/2020