Mungu kwa mujibu wa Nusayriyyah ´Alawiyyah

Swali: Mara nyingi tunasikia kuhusu pote Nusayriyyah, ´Alawiyyah. Ni kina nani na ni kwa nini wameitwa hivyo?

Jibu: Kwa sababu ndio pote lililopindukia mipaka katika Shiy´ah. Wanaonelea kuwa ´Aliy (Radhiya Allaahu ´anh) ndio mungu. Wanaitakidi kuwa ´Aliy ndio mungu. Wanamuabudu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (21) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/1434-08-14.mp3
  • Imechapishwa: 17/06/2020