Muislamu aliyeuawa kimakosa vitani na waislamu


Swali: Muislamu ambaye ameuawa kimakosa na Waislamu katika uwanja wa vita anachukua Ahkaam za shahidi katika kuzikwa?

Jibu: Allaah ndiye Anajua zaidi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (59) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1432-11-18.mp3
  • Imechapishwa: 16/11/2014