Mudiri anamwacha mfanyakazi kwenda nyumbani mapema kabla ya masaa ya kazi kwisha

Swali: Ninafanya kazi katika idara ya serikali na napata mshahara kutegemea na masaa ya kazi. Mudiri wangu kazini huniacha nikenda nyumbani pale ambapo hanihitajii. Inajuzu kwangu kufanya hivo na inafaa kwangu kuchukua mshahara huu?

Jibu: Ikiwa mudiri huyo ana haki ya kufanya hivo, haina neno. Na kama hana haki ya kufanya hivo, si wewe haifai kwako kufanya hivo wala yeye.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (41) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%204%20-%201%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 13/03/2017