Swali: Mtu aliyevaa soksi za ngozi na huku anafanya Tayammum kwa sababu ya udhuru miongoni mwa nyudhuru ni lazima azivue baada ya masaa ishirini na nne?

Jibu: Hapana, asizivue. Afanye Tayammum hali ya kuwa amevaa soksi za ngozi. Haina neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (5) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–01041434.mp3
  • Imechapishwa: 16/10/2016