Mtume (´alayhis-Salaam) aliwaswalisha Manabii kwa roho au miili yao?


Swali: Je, Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliwaswalisha Manabii kwa roho zao au miili yao?

Jibu: Aliwaswalisha kwa roho zao. Ama kuhusu miili yao iko kwenye makaburi yao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (43) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1432-03-17.MP3
  • Imechapishwa: 16/11/2014