Mtazamo wa Sayyid Qutwub juu ya jamii za Kiislamu zilizopo leo


Swali: Nimesoma maneno ya mfikiriaji mmoja ambaye amesema ya kwamba leo hakuna kabisa jamii yoyote ya Kiislamu. Bali jamii zote ni za kipindi kabla ya kuja Uislamu (Jaahiliyyah).

Jibu: Haya ni madhehebu ya Khawaarij. Haya ni madhehebu na maoni ya Khawaarij. Huku ni kuwakufurisha waislamu wote na kwamba hakuna jamii ya Kiislamu. Haya ni maneno ya Khawaarij. Tunamuomba Allaah afya.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=oMoaMLGx4k0
  • Imechapishwa: 25/11/2017