Msimamo wa al-Waadi´iy kuhusu mwanamke kufunika uso


Nawaelekeza katika kitabu cha ndugu yetu Mustwafah bin al-´Adawiy (Hafidhwahu Allaah) kwa kuwa muda hautoshi kuzungumzia hilo [hukumu ya kufunua uso]. Hii ni Radd kwa Shaykh al-Albaaniy (Hafidhwahu Allaah) na kumbainishia ya kwamba ni wajibu kwa mwanamke kufunika uso wake. Hali kadhalika kitabu cha Shaykh al-Answaar, hata kama kuna upetukaji wa mipaka kwa Shaykh Albaaniy. Yasichukulie hayo, lakini faida zilizomo ndani yake zichukuliwe.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://muqbel.info/fatwa.php?fatwa_id=149
  • Imechapishwa: 26/02/2018