Msafiri wa kwenda na kurudi siku hiyohiyo anafupisha?


Swali: Ni ipi hukumu ya kufupisha na kujumuisha kwenye masafa ambayo yanazidi 80 km pamoja na kujua ya kwamba nitarejea siku hiyo hiyo?

Jibu: Ndio. Nyinyi mnajua kuwa masafa ambayo ni 80 km na zaidi, inajuzu kufupisha swalah hata kama ataenda siku hiyo hiyo na kurudi siku hiyohiyo. Kwa kuwa hii inazingatiwa kuwa ni safari.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/5431
  • Imechapishwa: 20/09/2020