Mkusanyiko mwingine au ajiunge pamoja na imamu?

Swali: Mtu akiingia msikitini ambapo akamkuta imamu katika Tashahhud ya mwisho ajiunge pamoja naye au asubiri ili aswali na mkusanyiko mwingine akiyakinisha uwepo wake?

Jibu: Ajiunge pamoja naye. Kama ni mkusanyiko ajiunge pamoja naye. Ama akiwa na mkusanyiko basi ana khiyari; akipenda atajiunga pamoja na imamu na akipenda asubiri mpaka wamalize na waanze kuswali. Kwa sababu swalah imemalizika. Lakini akiwa hana yeyote pamoja naye ajiunge pamoja na imamu. Kule kutarajia kwake kuwa atakuja mtu matarajio haya huenda yasihakikike.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://shrajhi.com.sa/fatawa/104/%D8%A5%D8%B0%D8%A7-%D8%AF%D8%AE%D9%84-%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%B3%D8%AC%D8%AF-%D9%88%D8%A7%D9%84%D8%A5%D9%85%D8%A7%D9%85-%D9%81%D9%8A-%D8%A7%D9%84%D8%AA%D8%B4%D9%87%D8%AF-%D8%A7%D9%84%D8%A3%D8%AE%D9%8A%D8%B1
  • Imechapishwa: 14/12/2019