Mke haswali Fajr ndani ya wakati

Swali: Mke wangu siku zote namwamsha kuswali Fajr. Lakini hata hivyo anaendelea kulala na haswali isipokuwa baada ya muda kutoka nje. Nifanye nini katika hali kama hii?

Jibu: Mlazimishe kuswali ndani ya wakati wake. Asiposikiliza mwache na tafuta mke mwengine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (96) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/igahthat-12021440h.mp3
  • Imechapishwa: 15/06/2019