Mke hana haki yoyote ya kumpa talaka mwanaume


Swali: Je, inajuzu kwa mwanamke kumtaliki mume wake akishikwa na wendawazimu au akakosa kuwepo kwa muda mrefu?

Jibu: Mwanamke hana haki ya Talaka. Lakini akidhurika kwa kukosa kuwepo kwake, ataenda kwa kiongozi. Na ni wajibu wa kiongozi kukubali maombi yake ya kutengana kisha awatenganishe. Inatakikana kuwa namna hii ikiwa atadhurika, sawa kwa kukosa kuwepo mume au akiwa ni mwendawazimu.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.muqbel.net/fatwa.php?fatwa_id=2730
  • Imechapishwa: 27/02/2018