Mkanda hauwatimui mashaytwaan


Swali: Kucheza rekodi ya Suurah “al-Baqarah” nyumbani kunaweza kuchukua nafasi badala ya kisomo?

Jibu: Hapana, kisomo ni ´ibaadah. Mkanda hauswali na wala haufungi. Mkanda ni kifaa tu. Kisomo ni ´ibaadah ambacho ni lazima kifanywe na muislamu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (55) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16503
  • Imechapishwa: 23/09/2017