Miongoni mwa faida kubwa za Siwaak

Swali: Je, kutumia Siwaak kunamsaidia mtu kutamka shahaadah wakati wa kukata roho?

Jibu: Ndio, wanachuoni wamesema kwamba miongoni mwa faida zake ni kwamba unamsaidia mtu kutamka shaadah wakati wa kufa. Hili limethibiti.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (06) http://dl.islamweb.net/audiopath/audio/lecturs/aalrrajhee/433/433.mp3
  • Imechapishwa: 07/12/2018


Takwimu
  • 26
  • 413
  • 1,821,445