Miezi mine mgonjwa na amekufa akiwa na deni la Ramadhaan

Swali: Mamangu alikuwa anauguwa maradhi kwa muda wa miezi mine na akafa bila ya kufunga Ramadhaan. Ni ipi hukumu?

Jibu: Mtolee chakula kwa kila siku moja masikini.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (19/116)
  • Imechapishwa: 19/06/2017