Mchumba kutoka na mchumba wake kwenda kutembea


Swali: Inajuzu kwa mwanaume kutoka na mchumba wake wakiwa na kaka yake mdogo?

Jibu: Hapana. Ni lazima wawe na mtu ambaye kishabaleghe. Wasiwe na mtoto. Mtoto hajui kitu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (58) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/15-01-1438-ighastat.mp3
  • Imechapishwa: 22/10/2017