Swali: Mwanamke ambaye yuko katika eda ya kufiliwa iwapo atavaa nguo ambayo ilitanguliwa kutiwa marashi kabla ya kufa kwa mume wake. Je, anapata dhambi kwa kuvaa mavazi haya?
Jibu: Ikiwa yananukia harufu ya marashi asiyavae.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (87) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86%20%D9%85%D9%86%20%D9%85%D8%B5%D8%A7%D9%8A%D8%AF%20%D8%A7%D9%84%D8%B4%D9%8A%D8%B7%D8%A7%D9%86-01-07-1439.lite__0.mp3
- Imechapishwa: 05/10/2018
Swali: Mwanamke ambaye yuko katika eda ya kufiliwa iwapo atavaa nguo ambayo ilitanguliwa kutiwa marashi kabla ya kufa kwa mume wake. Je, anapata dhambi kwa kuvaa mavazi haya?
Jibu: Ikiwa yananukia harufu ya marashi asiyavae.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (87) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86%20%D9%85%D9%86%20%D9%85%D8%B5%D8%A7%D9%8A%D8%AF%20%D8%A7%D9%84%D8%B4%D9%8A%D8%B7%D8%A7%D9%86-01-07-1439.lite__0.mp3
Imechapishwa: 05/10/2018
https://firqatunnajia.com/mavazi-yaliyotiwa-marashi-kwa-mwanamke-aliye-katika-eda/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)