Swali: Kuna wanaodai kwamba muziki ni dawa ya baadhi ya maradhi. Je, jambo hili ni la sawa Kishari´ah?

Jibu: Muziki wenyewe ni maradhi. Maradhi hayatibiwi kwa maradhi mengine. Hayatibiwi kwa muziki. Maradhi yanatibiwa kwa kumdhukuru Allaah, kisomo cha Qur-aan  na matabano yenye kukubalika katika Shari´ah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (83) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-15-3-1439-01.mp3
  • Imechapishwa: 12/01/2018