Mapenzi ya kumpenda mama na mke


Swali: Mapenzi ya kumpenda mama na mke yakigongana kunatakiwa kutangulizwa mapenzi ya kumpenda mama kwa sababu ndio mapenzi yaliyowekwa katika Shari´ah?

Jibu: Mapenzi ya kumpenda mama ndio yanatakiwa kutangulizwa kabla ya mapenzi ya kumpenda mke. Kwa sababu yeye ana haki zaidi ya kupendwa, kutendewa wema.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (72) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighassat%20-11-01-1439h.mp3
  • Imechapishwa: 16/12/2017