Mapendekezo ya kuwaamrisha watoto kufunga


Swali: Ni ipi hukumu ya swawm ya mtoto?

Jibu: Swawm ya mtoto, ni kama tulivyotangulia kusema, sio wajibu kwake. Imependekezwa. Anapata thawabu akifunga. Vilevile hapati dhambi akiacha kufunga. Lakini ni lazima kwa mlezi wake kumuamrisha ili azowee.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (19/84)
  • Imechapishwa: 28/05/2017