Maoni sahihi juu ya wanawake kuyatembelea makaburi

Swali: Je, inajuzu kwa wanawake kutembelea kaburi la Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)?

Jibu: Maoni ya  sawa ni kwamba haijuzu kwa wanawake kuyatembelea makaburi. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Allaah amewalaani wanawake wenye kuyatembelea makaburi na wale wenye kuyafanya ni mahali pa kuswalia na kuyaweka chokaa.”

Haya ndio maoni sahihi. Ndio maoni yaliyothibitishwa na maimamu wa Da´wah na wengineo. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa amekataza kuyatembelea makaburi, kisha akatoa rukhusa halafu akawakatalia wanawake.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (05) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191110#219240
  • Imechapishwa: 11/09/2018