Mama wa mwanamke niliyemtaliki atabaki kuwa Mahram kwangu?


Swali: Mama wa mke wangu ambaye nimemtaliki anabaki kuwa Mahram au hapana?

Jibu: Ndio. Anabakiwa kuwa Mahram.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://muqbel.net/fatwa.php?fatwa_id=1501
  • Imechapishwa: 01/03/2018