Mahram wa wasichana wa kambo


Swali: Kuna mtu ameoa mwanamke ambaye yuko na wasichana kutoka kwa yule mume wake wa kabla. Je, huyu mume mpya ni Mahram wao?

Jibu: Ndio. Yeye ni mume wa mama yao. Wao wanakuwa ni wasichana wake wa kambo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (64) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighatsah%2019-03-1438H.mp3%2001.mp3
  • Imechapishwa: 09/10/2017