Mahram Anayezingatiwa Kishari´ah


Swali: Mimi ni mvulana mwenye miaka kumi na tano. Naweza kuwa Mahram wa mama yangu na dada zangu?

Jibu: Ikiwa umeshabaleghe unaweza kuwa Mahram. Vinginevyo hapana. Ikiwa umefikisha miaka kumi na tano umebaleghe.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (31) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathyl%20majd%20-%2026%20-%2010%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017