Madai ya wanaojinasibisha na ukoo wa Mtume (´alayhis-Salaam)


Swali: Katika mji wangu kuna watu wanaodai kuwa ni katika Ahl-ul-Bayt [watu wa nyumba ya Mtume (´alayhis-Salaam)]. Ni upi usahihi wa maneno yao ni vipi nitayahakikisha?

Jibu: Mimi nawajua mpaka niseme kuwa ni sahihi au sio sahihi? Sijui.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (14) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_14.mp3
  • Imechapishwa: 14/06/2018