Maamuma wametoa Tasliym kabla ya imamu kwa kusahau


Swali: Baadhi ya maamuma wakitoa Salaam moja upande wa kulia kabla ya Imamu kwa kusahau. Je, Swalah zao zinabatilika?

Jibu: Swalah yake haibatiliki. Lakini itabidi watoe Salaam baada yake mara mbili.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Nuur ´alaad-Darb
  • Imechapishwa: 22/03/2018