Kuzima mataa msikitini wakati wa ´ibaadah


Swali: Je, inajuzu kuzima mataa msikitini katika swalah ya Tarawiyh ili kuweza kupata unyenyekevu?

Jibu: Hapana, hii ni Bid´ah. Mataa yasizimwe misikitini katika swalah ya Tarawiyh. Watu wanahitajia mataa. Hii ni Bid´ah na haijuzu. Huenda haya ni matendo ya Suufiyyah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13974
  • Imechapishwa: 15/04/2018