Kuwapa zakaah Syria


Swali: Inajuzu kuwapa zakaah wasyria?

Jibu: Zakaah wanapewa mafukara na masikini sawa iwe wasyria na wengineo. Ukihakikisha kuwa inawafikia mikononi mwao basi wana haki ya kupewa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (15) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsir_27-07-1433.mp3
  • Imechapishwa: 22/05/2018