Kuwaomba msaada majini linafungua mlango wa shirki

Swali: Ni ipi hukumu ya kuomba msaada kutoka kwa jini katika kutenda kheri kama jinsi imevyopokelewa kutoka kwa Abu Muusa al-Ash´ariy katika zama za ´Umar bin al-Khattwaab (Radhiya Allaahu ´anh)?

Jibu: Hili halijuzu. Haijuzu kuomba msaada majini, visivyoonekana na maiti. Hili halijuzu. Hili linafungua mlango wa shirki. Hili halijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (65) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13832
  • Imechapishwa: 16/11/2014