Kuwafanyia Tabdiy´ Maswahabah kwa kusema adhaana ya kwanza ijumaa ni Bid´ah

Swali: Je, adhaana ya kwanza siku ya Ijumaa ni Bid´ah na ni yapi maoni yako kwa mwenye kusema hivo?

Jibu: Kwa hivyo Makhaliyfah waongofu watakuwa ni watu wa Bid´ah. Kwa kuwa adhaana ilikuwepo katika zama za Khaliyfah wa tatu ´Uthmaan (Radhiya Allaahu ´anhu), Muhaajiruun na Answaar. Kwa mujibu wa madai ya mjinga huyu ina maana watakuwa watu wa Bid´ah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-5-29.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2014