Swali: Kuna miongoni mwa waumini wenye kumcha Allaah ambao wana wafanyakazi majini?

Jibu: Sijui kitu katika hayo na wala mlango huu usifunguliwe. Makhurafi wameingia kupitia mlango huu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (13) http://alfawzan.af.org.sa/node/2128
  • Imechapishwa: 05/07/2020