Kutonunua bidhaa katika maduka ya waislamu yanayouza sigara

Swali: Ni ipi hukumu ya kununua bidhaa fulani katika duka linalouza sigara?

Jibu: Haitakikani kununua kutoka hapo. Kwa sababu ni katika kukemea jambo isipokuwa kwa nji ya kukemea. Ni sawa ikiwa utamkemea. Lakini inatakikana kuwahama na kuwaepuka ili watu wasinunue kutoka kwao. Endapo watu wataacha kununua kutoka katika duka hili linalouza sigara na wasinunue kutoka hapo basi jambo hilo lingewazuia.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (14) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=audioinfo&audioid=191634
  • Imechapishwa: 28/03/2020