Swali: Inajuzu kusponsa moja katika misikiti ya Suufiyyah kwa kutia umeme? Kuna watu wa kawaida ambao wanaswali ndani yake, lakini kuna nyukumbi na vyumba ambapo Suufiyyah hufanya darsa zao.

Jibu: Tafute msikiti msafi usiokuwa na mambo haya.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (81) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-1-3-1439-01.mp3
  • Imechapishwa: 18/02/2018